Diamond Platinumz

Hata huyo ndugu yenu mie sikuvitaka vita akisikia Khoho karoho kana bwita # Jeshiii
 
Yaani Veriefied User unaandika Upuuzi kwa picha za video shoots?
Inatia kinyaa sana,yaani kisa mtu eti hampendi ndio amzushie upumbavu.
Aliyepewa na Mola kapewa tu hata amchukieje.

Ndio maana huyu Dogo platnumz huwa namkubali kwa sababu ana watu wengi sana wanaomchukia lakini hakati tamaa, kisa tu kawazidin parefu mnoooo na hata shule hakwenda,amejaaliwa na Mungu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…