Diamond Platinumz

Nani ni mwanzilishi wa nyimbo za matusi kama sio wcb
Hivi mitungi,mikasi ile kwako ni nyimbo ya Injili.

Hivi unaujua huu waliimba wazee wako wa zamani "mkunaji na mkunwa huona raha ni nani........." huu kwako wa Injili.

Au labda hawa ni wasisi wa huu upuuzi wako unao uamini.
 
Kuna nyimbo za dully sykes pia
 
🤣🤣🤣🤣kwahio umeona kiswaswadu ukahisi jamaa kashaisha tayari...🤣🤣
 
Mkataba(agano) huwa ni mmoja tu. Forward ever, backwards never.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…