Diamond Platnums angefikiria kujiunga na kiwanda cha muvi Tanzania

Diamond Platnums angefikiria kujiunga na kiwanda cha muvi Tanzania

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2016
Posts
1,193
Reaction score
828
I think diamond platnumz should consider joining the Tanzania Movie Industry.. Many things will change.
"Nadhani diamond platnumz angefikiria tena na tena angejiunga na Kiwanda cha Muvi za Kibongo Nchini Tanzania..Nadhani vitu vingi vingebadilika toka kwa kijana wetu diamond platnumz"

Hayo ni maoni vijana toka mitandao ya kijamii@twitter.
1469161882169.jpg
 
Uhuru wa kikatiba.

Weka hayo maoni ya hao vijana wa twitter Tuyaone, isije ikawa wewe ni wale wale kina team Domo.
 
Hicho kiwanda kipo maeneo gani hapa Tanzania?
 
Hiyo tabia ya kuokota tu watu waje kuigiza kwa sababu tu ya umaarufu wao ndiyo imeua biashara. Marehemu Kanumba na Ray ndio walioleta huo ujinga ambao unaigharimu sanaa kwa kujaza wauza sura wenye malengo mengine nje ya kazi.
 
I think diamond platnumz should consider joining the Tanzania Movie Industry.. Many things will change.
"Nadhani diamond platnumz angefikiria tena na tena angejiunga na Kiwanda cha Muvi za Kibongo Nchini Tanzania..Nadhani vitu vingi vingebadilika toka kwa kijana wetu diamond platnumz"

Hayo ni maoni vijana toka mitandao ya kijamii@twitter.View attachment 369050
Naungana nawe Mkuu!
 
huwez kusema KIWANDA kwa kuwa kiingereza wanasema INDUSTRY, hizo ni tafsiri SISISI. Kwa kiswahili tunasema TASNIA.
 
Ooooh OK unafikiria... atakusoma siku moja au kuambiwa.
Mida hii yupo busy anaongea bonge la produsa na wa miziki na wengineo huko aliko.
 
Updates* dmond na wolper wako katika harakati izo za kutoka muv ya pamoja, xo tegemea kumuona kwny luninga
 
Back
Top Bottom