Diamond Platnumz aahidi kuwafanyia kufuru wanatandale

Ni Ngumu sana Kupitishwa kwenye kura za maoni ndani ya CCM labda aje UKAWA ndio atatimiza ndoto zake za kuwania Jimbo la Kinondoni.
UKAWA ipi? Maana niijuayo mie ishatangulia mbele ya haki,
 
Mbona Kiba juz alitoa misaada, ila hana matangazo, pia alipanda daladala hakutangaza
 
Safi sana Simba! 2020 ugombee ubunge hao unaowasaidia ndo wapiga kura wako.
 
Salute kwa kweli hii ni moja ya project kubwa kufanywa Tandale!..
 
Kwamtogole is the only way forward.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…