Diamond Platnumz aipromoti albamu ya Harmonize

Hehehehehe naona mnalia sina ushabiki kwa konde,nina post nyingi nimempondea nashangaa mnaogopa kuziweka hapa. Wachafu koge poleni jamani. Konde ndo hivyo tena mmeshindwa kumshusha
 
Team domo wanavyohangaika baada ya boss wao kuenda kinyume na matarajio yao.
 
Halafu hizo roho achia Dada zako kina Numbisa mwanaume kuchukia hustle za mwanaume mwenzio ni dalili za kuhitaji kuolewa kabisa..After all lini umeona Mimi Nina ushabiki wa kimaandazi kama mliokuwa nao nyie wenye timu zenu? Mimi nasifia anapohitaji kusifiwa awe Kiba,Mond,Harmonize n.k

Lakini huwa najisikia aibu sana kuona mwanaume kama wewe unakua na chuki za kikekike kwa MTU ambae kila mtu anajua anafanya vizuri...ulivyokuwa mnafki zaidi 2016 ulikua unamponda Konde boy kwakuwa alikua upande wa WCB upande ambao wewe huupendi...

Lakini mwaka huu unaleta unafki wa kumsapoti kwakuwa tu hayupo tena upande ambao wewe huupendi huu ndio uanamke tunaouongelea na sio ushabiki wa muziki.Jaribu kuficha chuki zako kwa MTU anayezidi kukuumbua kila Siku iendayo kwa mungu anafnya vizuri..tunahitaji tuwe na wasanii wengi kimataifa lakini sio kwa kumshusha Fulani kama nyie mnavyotaka.
 
Kama una hasira jitundike mkuu. Numbisa ,numbisa cheiiiii.

#domokayakaombapoo
 
Hehehehehe naona mnalia sina ushabiki kwa konde,nina post nyingi nimempondea nashangaa mnaogopa kuziweka hapa. Wachafu koge poleni jamani. Konde ndo hivyo tena mmeshindwa kumshusha
Ulivyokuwa una kichwa kibovu sasa unaambiwa sina timu na kila Siku nasema hapa na hata sasa nimesema sina timu lakini unang'ang'ania kunipa team...hii Mentality yenu ya kuamin kila anayemtetea Mond ni shabiki wa Mond ni mentality ya kipumbavu kuliko zote Tanzania
 
Huna timu ila povu unalotoa la innocent cha mtoto aiseeee. Eenhe ukawa unamlilia jose aiseee mwanaume mwenzio unamuandikia gazeti la kutulalamikia bageeeeshiiiiii hili lijamaaa lisazi gete gete
 
hili povu kafulie shumizi.

Diamond kupromote album ya Harmonize kumesababisha mmeumbuka mnoo.

Msirudie tena kumshambulia Harmonize, huyu kijana anapata support hadi kwa Diamond ambaye mlidhani ataunga mkono ujinga wenu wa kumtukana Konde boy.
 
Uwe flexibleπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unafiki mbaya.
 
Uwe flexibleπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unafiki mbaya.
View attachment 1389849
Niko flexible ndiyomaana niliweza kumponda Harmonize alivyokua anamcopy Diamond na leo kabadilika kawa na style yake nampongeza na namkubali mnoo na hii ndiyo maana ya kuwa flexible.
Hivi ni uongo Harmonize alikua hamuigi Diamond kuanzia kuimba hadi kuvaa?
Ni mimi pekee niliyowahi kusema Harmonize wa Aiyola anamuiga Diamond kila kitu?

Harmonize alikua ni copy ya Diamond na watu wengi sana wamepiga kelele juu ya hilo mpaka Harmonize akajitafuta na kua yeye.
leo kawa Konde boy anashindanishwa na Diamond na sio kufananishwa na Diamond kama ilivyokua hapo awali.

Sasa nyie viherehere mkawa mnamtukana Harmonize baada ya kujitoa WCB, jana mmeumbuka baada ya Diamond kupromote album ya AfroEast.

Kwakukushauri tu kuwa shabiki wa vitu zivuri ili uwe flexible kama nilivyo,
ukiwa shabiki wa mtu binafsi utaishia kuumbuka kama mlivyoumbuka baada ya Diamond kupost Album ya Harmonize.
 
kuwa na consistency na wewe sio kushoto kulia kama mwanamke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ 2016-2019 anafanana na Mondi ,2020 ndio hafanani na Mondi.

Sijakuumbua mimi bali JF imekuumbua kupitia comment uliyoandika ww mwenyewe na hii thread moja tukifungua makaburi mengine utazidi kuumbuka.

Kitu ambacho nina uhakika nacho kama album angetoa chini ya WCB ungeendelea kuponda tu.
 
jaman njoon mlione lingne hili huku lenye ubongo wa samaki
 
Umemaliza mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hili povu kafulie shumizi.

Diamond kupromote album ya Harmonize kumesababisha mmeumbuka mnoo.

Msirudie tena kumshambulia Harmonize, huyu kijana anapata support hadi kwa Diamond ambaye mlidhani ataunga mkono ujinga wenu wa kumtukana Konde boy.

Yan we jamaa sijawahi kuelewa upupu unaondika humu.Ni kama uharo wa bata aliyetoka kuatamia mayai.Hivi wew leo ni wa kumshabikia hv Konde..?? punguza unafiki, ndomaana me tangu niingie jf kila siku nasema kbs kuwa kuna uwezekano mkubwa sn kuw KWENU WOTE NI WANAWAKE.Una tabia za kike sana.Na kama kwl ww ni Daud Mchambuzi, bs kachambue vuzi la mmeo, mziki hauujui kbs.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…