Carbondioxide
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 733
- 195
Bila kumtaja unajiskia kuwashwa washwaKIBA yupo FIESTA MBEYA. Asisubiri huruma za mashabiki.KIBA achia wakina ASLAY hayo matamasha ya FIESTA tumia kipaji chako tunga nyimbo, tafuta uongozi mzuri unaona mpaka G MONEY anaanza kujilinganisha na wewe. Kwa kujulikana vyombo vya habari vya nje VANESSA MDEE karibu atakupita.Mashabiki zako wapende wasipende DIAMOND sio level yako tena.Mpe hata LE MUTUZ Kazi ya kuwa mpiga picha wako
Si uanzishe uzi wa kumshauri maana huu ni wa pongezi kwa MondiKIBA yupo FIESTA MBEYA. Asisubiri huruma za mashabiki.KIBA achia wakina ASLAY hayo matamasha ya FIESTA tumia kipaji chako tunga nyimbo, tafuta uongozi mzuri unaona mpaka G MONEY anaanza kujilinganisha na wewe. Kwa kujulikana vyombo vya habari vya nje VANESSA MDEE karibu atakupita.Mashabiki zako wapende wasipende DIAMOND sio level yako tena.Mpe hata LE MUTUZ Kazi ya kuwa mpiga picha wako
Safi sana. mwenzako naye alikuwa msanii bora fiesta ARUSHABasata( Baraza la sanaa Tanzania) lampongeza diamond Platnumz kwa tuzo uko marekani.
Ahaha aisee ni kweli kwa level ya Kiba kuzunguka na wakina Sharomwamba Fiesta ni aibuKIBA yupo FIESTA MBEYA. Asisubiri huruma za mashabiki.KIBA achia wakina ASLAY hayo matamasha ya FIESTA tumia kipaji chako tunga nyimbo, tafuta uongozi mzuri unaona mpaka G MONEY anaanza kujilinganisha na wewe. Kwa kujulikana vyombo vya habari vya nje VANESSA MDEE karibu atakupita.Mashabiki zako wapende wasipende DIAMOND sio level yako tena.Mpe hata LE MUTUZ Kazi ya kuwa mpiga picha wako
HIYO NDO LEVEL YAKE HALISI MKUU,KAMA MTU ALIFIKIA HATUA ANAIMBA USINISEME KAMA NAPENDA KULA HUONI KAMA FIESTA NI DARAJA LAKE LA JUU?Ahaha aisee ni kweli kwa level ya Kiba kuzunguka na wakina Sharomwamba Fiesta ni aibu
We Huna chochote unachokijua ila unataka kujitia ujuaji...Kwanza hapa bongo hakuna msanii wa bongo flava mwenye albam 20 alie na Albam nyingi ni Sugu ambae azivuki hata 15.Album ya kwanza ya mfalme wa mziki wa tanzania..
kuna watu wana album 20 lakini hata kenya hawajulikani..
mtoto wa tandale album ya kwanza tu maishani hadi kina rick ross wanaogopa huu ujio
mauzo ya hii album yatavunja record africa.. kwanza itauzwa online tu huyu mtoto wa tandale alivyo na akili