Diamond Platnumz akamatwe kwa kuvunja Sheria Barabarani

geek jo

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
1,134
Reaction score
1,144
1. Hajamfunga mkanda mtoto.
2. Anacheza mziki akiwa anaendesha na kuhatarisha maisha ya watumiaji wengi wa barabara pamoja na aliowapakia.

Wanaosimamia sheria.. Raisi alishasema hakuna cha umaharufu.. Kamata weka ndani.

 

Attachments

hawa watu maisha yao tu ni entertainment waandae tv shows
 
Nianze kwa Refference ya Wale Vijana walikamatwa na Polis Wakiwa wanacheza Nyimbo ya Darasa /Muzuki. Dereva alionekana kucheza na Kuachia Usukani , huku abiria pia wakiwa hawajafunga mikanda . Kitemdo kile kilionekana Kukiuka taratibu za barabarani , ikiwa ni pamoja na kuhatarisha Maisha ya dereva na abiria waliokuamo ndani.

Kwenye Video , Utamuona Diamond akicheza Nyimbo ya Marry Me , Huku yeye na abiria aliwabeba wakiwa hawajafunga mikanda , kwa nyuma anaonekana Mtoto mdogo akiwa amesimama kwnye kiti, haitoshi.Nasibu anaonekana akiachia Uskani huku akiangalia mtu anayemchukua video.
Mpaka sasa sijaona Hatua iliyochukuliwa

My take .
Ifike mahala sheria tulizo nazo zieheshimiwe na ziguse kila mtu anayezivunja pasipo kujali Umaarufu , sheria ni msumeno , tunataka kuona Ikitumika kumkamata Mtu huyu.

Video hii hapa
 
hata akipata ajali haina madhara.si gari ya abiria.Let him drive at his own risk.
Watumiaji wa barabara ni wengi.. anaweza kugonga watu njiani au gari nyingine... nidhamu ni swala la muhimu barabarani kuepusha ajali...!
 
Aisee maisha haya! tukazane kusaka pesa
huyu mwanamke kama yuko under 18
 
Duh watakuwa wanaendesha barabara za mitaani hatari sana
Hatari sana.. Watu wache ushamba wa instagram. Unajirecord huku unaendesha. Kunasiku watakuja kukanyaga watoto wa watu uswahilini huko tuanze kuombana misamaha!!
 
Unajuaje alikuwa South Africa hapo? pengine sheria za huko zina ruhusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…