Diamond Platnumz akamatwe kwa kuvunja Sheria Barabarani

We jinsia gani maana huo wivu unaniogopesha
 
Hakuna sheria iliyo vunjwa hapo.
 
una uhakika gani kama alikuwa bongo? labda south africa
 
Jitahid kutambua mazingira halisi sio kila uswazi tandare,,,kwani huko south hakuna local area
 
Kweli chuki kisa kakuzidi maisha.lipotini wauza unga aka madawa y kulevya. Mnaangaila na hao.
 
wanyonge na tusio na pesa tutazidi ku umia
 
Kweli kunya anye kuku akinya bata kaharisha, asante kwa taarifa umeumia eeh pole ipo siku na wewe utamiliki gari japo ka passo[emoji23][emoji23]
 
Dah ila mbona Diamond anaonekana amekomaa sana saivi, ndio kulemewa na stress au au na yeye anahofia kutajwa jina na Makonda? dogo uso umekakamaa aisee, kumbe zile picha ni photoshop??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…