Diamond Platnumz akiwa mitaa ya Lisbon Ureno

The Assassin

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2018
Posts
4,942
Reaction score
20,077
Diamond Platnumz akiwa Lizbon Ureno alikoenda kutumbuiza juzi.
20220706_194229.jpg
 
Hao wakina dada hizo ndiyo zilikuwa nguo za mtoko au walikuwa wanaenda kuogelea somewhere.
 
Kakutana na mwajuma ndala ndefu wa lisboa 😀😀😀 uko aende taratibu asilete ya tandale yatamkuta ya rkelly
 
Ukiacha utimu pembeni diamond ni mfano wa kuigwa sana,

Diamond (almasi) ni madini ya ghali Duniani, kuanzia kupatikana kwake Hadi thamani yake.

Hivyo wasanii hususani underground wote wanaochipukia wajifunze kuchagua majina ambayo yanakureflect kwenye ulimwengu.

Mfano wa majina nisiyoyakubali ni mengi ila si vyema kuyataja
 
Nakusaidia mfano wa wasanii wenye uwezo mkubwa ila nahisi majina yanachangia kutofahamika kwa ukubwa wanaostahili:
1. Timbulo
2. ....
NB: Haimaaniishi uzuri wa mziki ni kigezo pekee cha umaarufu na ukuaji.
 
Ukiacha utimu pembeni diamond ni mfano wa kuigwa sana,

Diamond (almasi) ni madini ya ghali Duniani, kuanzia kupatikana kwake Hadi thamani yake.

Hivyo wasanii hususani underground wote wanaochipukia wajifunze kuchagua majina ambayo yanakureflect kwenye ulimwengu.

Mfano wa majina nisiyoyakubali ni mengi ila si vyema kuyataja
Ungemalizia Konde
 
nadhani hizi sio nguo alizovaa kwenye show.

hope alienda na nguo nyingi za rangi hii.
 
Back
Top Bottom