The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Sasa hawa ndo mashabiki au ndo waliomsponsor?Diamond Platnumz akiwa Lizbon Ureno alikoenda kutumbuiza juzi.
View attachment 2282727
Huyo dada mbele ameweka kifuu???Diamond Platnumz akiwa Lizbon Ureno alikoenda kutumbuiza juzi.
View attachment 2282727
bumunda triangleHuyo dada mbele ameweka kifuu???
Nadhani hiyo lami pembeni ni ZuchuDiamond Platnumz akiwa Lizbon Ureno alikoenda kutumbuiza juzi.
View attachment 2282727
Ukiacha utimu pembeni diamond ni mfano wa kuigwa sana,
Diamond (almasi) ni madini ya ghali Duniani, kuanzia kupatikana kwake Hadi thamani yake.
Hivyo wasanii hususani underground wote wanaochipukia wajifunze kuchagua majina ambayo yanakureflect kwenye ulimwengu.
Mfano wa majina nisiyoyakubali ni mengi ila si vyema kuyataja
Ungemalizia KondeUkiacha utimu pembeni diamond ni mfano wa kuigwa sana,