ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Acheni ulimbukeni ndugu zangu swala la kupiga picha sio lazima kanye awe anamjua diamond, mfano ni huyu jamaa alipiga picha na J cole pale airport KIA jamaa wala hajulikani hata mtaani kwao kapiga picha na Cole na ikawa kawaida watanzania tusiwe washamba kiasi hiki wasawa ni LAX lkn inaonekana Kanye anamfahamu Diamond prior to that,la sivyo angemzingua maana wote tunamjua kanye huwa ana atitud fulani
Diamond kafika Marekani katika show yake itakayo fanyika Las Vegas,mara tu baada ya kufika Marekani alikutana na Kanye West a.k.a kanye Magharibi
Huu ni mwanzo mzuri kwa Diamond kwani ikumbukwe Diamond aliahidi mwaka huu kuufikisha mziki wetu Amerika means kufanya Collabo na wasanii wa Amerika
Sina uhakika kama Diamond kakutana Na kanye ghafla tuu hapana nahisi ni kitu kilocho kuwa kimepangwa,hongera Diamond mtafutaji!
mmmmmmh! hajui tanzania ilipo? mwafrika asijue asili yake ya bara la afrika ambapo tanzania ipo ina maana hashik raman akasoma na mzik wake anawalenga watu gani kama sio wa mataifa yote unafikir vile wakina t.i jay z na beyonce walivokuja yy hakujua? wakina buster rhymes wote washakuja so lazima anaijua tzHapo ni uwanja wa ndege ndomo kamuona kaomba apige nae picha kama shabiki
Nina uhakika 100% kanye haijui Tanzania ilipo wala hajawai kuisikia ndo aje amjue ndomo?
Meno ya Kanye kuyaona ni shughuli pevu.sizani ata kama anajua kuna msanii anaitwa diamond kwanza cheki alivonuna kama kalazimishwa kupiga picha
Ahaaaa haaa...daahHAO TEMBO MBONA KAMA HAWANA MIKONGE KIBA KISHAFANYA YAKE NN
mmmmmmh! hajui tanzania ilipo? mwafrika asijue asili yake ya bara la afrika ambapo tanzania ipo ina maana hashik raman akasoma na mzik wake anawalenga watu gani kama sio wa mataifa yote unafikir vile wakina t.i jay z na beyonce walivokuja yy hakujua? wakina buster rhymes wote washakuja so lazima anaijua tz
Sio mkonge ni pembe za ndovu au tusk. Mkonge si huo mkia wao wa mbele unawasaidia kulaHAO TEMBO MBONA KAMA HAWANA MIKONGE KIBA KISHAFANYA YAKE NN
sizani ata kama anajua kuna msanii anaitwa diamond kwanza cheki alivonuna kama kalazimishwa kupiga picha
Hapo ni uwanja wa ndege ndomo kamuona kaomba apige nae picha kama shabiki
Nina uhakika 100% kanye haijui Tanzania ilipo wala hajawai kuisikia ndo aje amjue ndomo?
hahahahaaaaHAO TEMBO MBONA KAMA HAWANA MIKONGE KIBA KISHAFANYA YAKE NN
Hahahhahahahhaah pole my ďear Data.Afro D nakumisss mnooo
...... nikupe my contacts..... I missdd ur artwork. btp. .....what happens in Vegas stays in Vegas