DIAMOND anazidi kudhihirisha kuwa anajificha nyuma ya wasanii wake baada ya kushindwa kutoka vizuri na wimbo mpya.
Skendo iliopo mezani Diamond ameiba wimbo wa msanii chipukizi wa NAMIBIA anaitwa King Tee Dee au KIng TD... alikuja Bongo kurekodi kwa kumshirikisha Diamond lakini alivyoondoka Diamond akautengeneza upya na kufuta vipande vya msanii huyo...
wimbo wa King Tee Dee aliutoa Februari 14, mwaka huu.
WANAMIBIA wamekerwa sana na kitendo cha Diamond kuiba wimbo wa msanii wao tena ndiyo kwanza anachipukia alikuja Bongo kuomba kolabvo.
Wameenda mbali zaidi na kusema sawaaaa msanii wao bado hajui kuimba vizuri lakini Diamond amemkandamiza kumuibia wimbo wake alioutunga yeye.
Your browser is not able to display this video.
Huu ni wimbo wa King Tee Dee akiwa amemshirikisha Diamond siku alipokuja kurekodi Dar chini ya Podyuza wa Diamond Lizer.
Your browser is not able to display this video.
Haya hii ni video ya wimbo mpya wa Diamond ambao katoa sauti ya King Tee Dee.
Ushauri wa buree! Si vizuri kuiba au kumnyima msanii mchanga haki zake! Hata yeye alipitia ulipotoka kwa hiyo Diamond angalia kwanza unajishushia heshima. Kwa mfano sasa hivi Wanamibia wanaponda posti zako za hii video si Youtube hadi Instagramu yako.
Wengi wanatamani uendelee kuwa juu na kutuvukisha boda lakini kama utaendelea tena mara tukisie umeiba Nigeria mara South Africa mara Marekani hatutaendelea tutaonekana hatujui.
Watch Out.
dogo ana maisha marefu kama msaniii.ni mshamba na fala Utandale umemkaaa mpaka ubongoni yeye na mama ake.sisi tumekulia kwa mfuga mbwa lakini tuna akili na tupo makini...soon atarudi Tandale..maaana ata madale ni mkopo
Mijitu ina roho mbaya kama ya shetani. Check mwingine ana-comment kabisa mond atatudi tandale. Yeye ni mfuga mbwa anajiita ana akili. Wewe mond kurudi chini itakusaidia nini? Watu mna roho mbaya zaidi ya shetani