Diamond Platnumz,Ali Kiba Na 20 Percent

Diamond Platnumz,Ali Kiba Na 20 Percent

Carbondioxide

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
733
Reaction score
195
Matokeo ya Tuzo za @KTMA kuanzia Mwaka
2013-2015.
2013-Mwaka wa 20 percent alipata Tuzo 5.
2014-Diamond Platnumz alishinda tuzo saba(7).
2015-Ali Kiba alishinda tuzo 5.
Kwa hiyo inaonekana Twenty Percentage na Ali Kiba viwango vyao havina utofauti,tuseme tu Twenty manejimenti yake iko wapi mboni IPO kimya,Japokuwa Rockstar IPO nyuma kumuwezesha Ali kiba kuwa kwenye anga za kimataifa kama Chibu D.so tunategemea 20 pasenti aje tens kwenye Game.
 
Last edited by a moderator:
Hao ni wasanii was Tanzania inasadikika walishinda kwenye tuzo za pombe @KTMA-TANZANIA.
 
Matokeo ya Tuzo za @KTMA kuanzia Mwaka
2013-2015.
2013-Mwaka wa 20 percent alipata Tuzo 5.
2014-Diamond Platnumz alishinda tuzo saba(7).
2015-Ali Kiba alishinda tuzo 5.
Kwa hiyo inaonekana Twenty Percentage na Ali Kiba viwango vyao havina utofauti,tuseme tu Twenty manejimenti yake iko wapi mboni IPO kimya,Japokuwa Rockstar IPO nyuma kumuwezesha Ali kiba kuwa kwenye anga za kimataifa kama Chibu D.so tunategemea 20 pasenti aje tens kwenye Game.

Ndo umeandika nini hapa?
 
Last edited by a moderator:
Mwenye recipe ya pilau naomba ili nitoe kitu mapema leo.
 
Kuna kamsanii hapo kalijipa hadi u-king mara ooh return of the King, eti sasa hivi sina shida ya tuzo.
 
Namkubali sana 20% sasa sijui tatizo ni nyota ama?
 
Back
Top Bottom