mushkhan moshi
Member
- Oct 4, 2016
- 49
- 81
afu kiba huwa HAJIBU upuuzi...hapa ndo utajua siyo kila anaevaa suruali ni mwanaume[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Kwenye ngoma ya FID Q, FRESH remix....
Diamond anasikika akisema
Ukinichukia sikosi hela, kuni "compea" na Sindilela haiwezi kuwa fresh..
"Simba toka Mbuga ya Tandale,naona swala wana force tuwe sale sale."
"Viuno vidogo wanataka pensi ya Pepe Kale."
"Si walitaka kiti nimewapa hadi kitanda wakalale".. Fresh x2
.......Pole Kiba si ulitaka kiti, Simba amekupa hadi kitanda ukalale....ila isije kuwa unakiuno kidogo halafu unataka pensi la Pepe Kale.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Andika kwa herufi ndogo nikuelewe....hizi herufi kubwa huwa sihangaiki kuzisoma.JARIBUNI BASI KUTAFSIRI NA MAISHA MNAYOISHI.SIO KUTAFUTA TAFSIRI ZA WASANII WAKATI HALI ZETU ZATUSHINDA KUPAMBANA NAZO
Hahha acha ubahil... nunua tuWameiblock, wanaiuza. Yaani na mitandao hii ninunue wimbo shilingi 300?
Hapana aisee, na kafanya makusudi. Maana katrend sana kuhusu issue ya Mobeto, so anajua watu watanunua tu.Hahha acha ubahil... nunua tu
Sure na wabongo kwa ubuyu... we subir utaikuta whatsapp muda si mrefuHapana aisee, na kafanya makusudi. Maana katrend sana kuhusu issue ya Mobeto, so anajua watu watanunua tu.
Na hakuna cha maana humo zaidi ya vijembe tu. Bora msinunue kwanza muda si mrefu itatapakaa pote.Naona wameblock wataitazama wenyewe sina muda mchafu wa kupoteza pesa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuwekea mkuu.Please mwenye nayo ani whatsapie 0625 687 287
HAHAHAHAHA nimecheka sana hapo kwenye kiti hakika kalala kabisa maana hata wimbo kakataa kutoaKwenye ngoma ya FID Q, FRESH remix....