Manchris Jbisd
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 691
- 494
Kama umeweka na emoji hizo, nimepata majibu ya swali nililouliza.we mwanamke umefata nn kwenye mabishano ya wanaume?[emoji7] [emoji7] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app
uko sahihi hawa Diamond na Kiba ni kama walivyokua Ray na Kanumba,Pipozi tuweke mbali utimu laiti daimondi asingekuwa juu,yule bushman king uchwara kiba angekuwa ameahapotea longtime ....
Sent using Jamii Forums mobile app
King ni jina tu Kama Diamond anavyojiita simbaTrue! Hata km asingepotea but angekuwa anachukuliwa kawaida tu na si kiking king kama wanavyombeba sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wkati kanumba akiwa hai Ray kigosi alikuwa anadai yeye ndo babu kubwa kuliko Kanumba, mpaka ikawa kila kanumba akifanya jambo la maendeleo mpaka ray nae akopy kisha anadai yeye ndo alianza. SASA BASI baada ya Kanumba kuondoka duniani, Ray nae akajifia zake huko.uko sahihi hawa Diamond na Kiba ni kama walivyokua Ray na Kanumba,
Alikiba anapata pressure kubwa sana kutoka Kwa mashabiki zake kutokana na Diamond,alikiba ni msanii anae rizika na mafanikio madogo sana na hana kiu wa kutusua kikubwa kama Diamond,kiujumla yeye ni average artist,ila kwa sababu team kiba wanampa amshaamsha ndio na yeye anajaribu kukaza.
Hahahaha kwa usawa huuu mhhhhhhNitumie mb za 500, nikutumie audio Whatsap...Fanya hima mkuu
N hapo ndo eneo Domo yuko hatua moja mbele ya wasanii wenzake.anajua mno ku spot opportunities and make the most of them.na watanunua tu!Hapana aisee, na kafanya makusudi. Maana katrend sana kuhusu issue ya Mobeto, so anajua watu watanunua tu.
safi wanawake wa bongo kwa kujiongeza mpo fasta nashukuru kwa kuelewa sherii mosusu tehKama umeweka na emoji hizo, nimepata majibu ya swali nililouliza.
kwanza sijawah muona simba anayebana saut unless otherwise kuwe kuna simba shoga nowdays[emoji12]Kwenye ngoma ya FID Q, FRESH remix....
Diamond anasikika akisema
Ukinichukia sikosi hela, kuni "compea" na Sindilela haiwezi kuwa fresh..
"Simba toka Mbuga ya Tandale,naona swala wana force tuwe sale sale."
"Viuno vidogo wanataka pensi ya Pepe Kale."
"Si walitaka kiti nimewapa hadi kitanda wakalale".. Fresh x2
.......Pole Kiba si ulitaka kiti, Simba amekupa hadi kitanda ukalale....ila isije kuwa unakiuno kidogo halafu unataka pensi la Pepe Kale.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwanini diamond analazimisha kiki kwa King Kiba?Pipozi tuweke mbali utimu laiti daimondi asingekuwa juu,yule bushman king uchwara kiba angekuwa ameahapotea longtime ....
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimecheka Lakini...kwanza sijawah muona simba anayebana saut unless otherwise kuwe kuna simba shoga nowdays[emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji106] [emoji106] [emoji106]Nimecheka Lakini...
Binafsi sikubaliani na Msanii YOYOTE TANZANIA ALIEWAHI KUWEPO NA ALIYEPO TANZANIA AMA AFRIKA MASHARIKI kulinganishwa na Diamond.
Diamond yupo juu sana.
Mimi sio fan WA Daimondo waka kiba,
lakini sitaki mje kutoa sifa akiwa marehemu. Tumwambie hapa hapa akiwa hai, iwe chungu ama Tamu.
Sent using Jamii Forums mobile app