Tetesi: Diamond Platnumz ampeleka Ommy Dimpoz polisi

Tetesi: Diamond Platnumz ampeleka Ommy Dimpoz polisi

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
27,031
Reaction score
49,928
ommy dimpozi ameshikiliwa zaidi ya masaa matano leo baada ya mashtaka aliofunguliwa na diamond kwa kusema alimgegeda maza wa taifa
wadau wamekuja juu sana huko mitandaoni na haya ndo maoni yao
Sasa diamond amshitaki ommy kwa ile picha alipost mamake mxeeew .
  • mbitegekoHuu Ugomvi ushakuwa beyond Limit sasa ni chuki tupu
  • asianooor2Na hamisa pia akashitaki alimuita bitch
  • balafu_ya_moyo_wanguMangapi yeye amesha tukana wenziye mbona hawaja msitaki? Kweli naamini Kama sikuzote ukweli unauma mkini wakufikiria @di more
  • neemashija96mkuki kwa nguruwe ye alivyomwambia mwenzie ana pumuliwa je angeshitakiwa nawe ndo maana mwenzie kamuonyesha kuwa yuko f more
  • khadija.bagakamuonea tu...yy kila kukicha anatukana watu...mara mbichi
  • vincycai6145Diamond thinks he above the law in Tanzania. If Tanzanian police even bother with this bullshit. Then we know how corrup more
  • cathy_msoffeMond anaanguka kisanaa hivyo, yy hodari kutukana wenziye yy akiguswa anakimbilia polisi. Km mwanamke!! Sura mbaya roho m more
  • mamkweonfleekNyuchi za wadada zinamlaani. Laana ya kukataa mtoto na kukimbilia kulea wa marehemu zinamuandama. Laana za baba yake zin more
  • saminatazOmmy pia ashitaki diamond kwa kumtusi na kumuita shoga, hizo ni accusation kama diamond hana evidence, awekwe ndani for more
  • ___aleemhumu wengi mlifurahiaa mam kudhalilishwa dAh so mama akishtak kudharirishwa mnamind mond watz mko vip
7 hours ago
 
Kweli binadamu niwabinafsi sana. Kwahiyo yy dai amesahau tusi kubwa kuliko alilokia amemtukana mwenzie!
 
Back
Top Bottom