Tetesi: Diamond Platnumz ampeleka Ommy Dimpoz polisi

kumbe ujui Ommy kaenda kuhojiwa kwasababu ya kesi yke ya ushoga
 
Diamond hana upuuzi huo WA kumpa kiki ommy dimpo Mzee WA kupumuliwa
 
Ommy kaenda kuojiwa kwa kesi take ya ushoga sio kwa swala la bi Sandra
 
HAKUNA ASIEJUA KAMA OMMY DIMPOZ NI SHOGA.NA KAMA HUJUI BASI SUBIRI SIKU AINGIE KWENYE 18 ZA MANGE.KUNA PICHA NA FULL VIDEO ZA OMMY AKILIWA KIBOGA UK.
Maadili ya jamii forum hayaruhusu video hizi
Kuna jukwaa la wakubwa, nenda kaziweke mzushi wewe
 
Hapa ndio nashindwaga kuwaelewa wanamziki wasiojua. This is all about music mama wa nini kuaibishana tu. We umedisiwa si uingie studio andika yako. Huku ni kuonesha udhaifu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumuingiza mama wa watu kwenye bifu za kijinga ni ujuha ngoja anyooshwe
Angedeal na Daimond na ss mama au kwa mama ake marehem ngona akomeshwe
Ukianzisha ugomvi usimchagulie mwenzako silaha...

Nyie si ndio mnachekelea yule mpuuzi Mange anavyotukana familia za watu?
 
Kilicho nishangaza ni kuwa Mama diamond kuolewa na kijana huko dom sijui Moro..... Niliishiwa pozi kiukweli
 
Safi sana. Kugombana mgombane nyie kumuingiza mama inahusu.
Big Up Mondi
 
Amepanic.
Kama jamaa naye akiamua kumshataki kama yeye alivyofanya atatoa wapi ushahidi kwamba Ommy ni shoga.
Sheria kitu cha ajabu sana..nikikutukana wewe alafu usinishitaki siku ikitokea umenitukana mie nikakushitaki (hii ndio ni kesi ya msingi kukutukana kwangu haiwezi kuwa utetezi hasa kama ulikaa muda mrefu na hukuripoti tukio)
 
Kwani kisheria nikosa kumpost mpenzi wako aliyekuzidi umri, naamini omi alifanya vile ili kumdhirishia kuwa ni mwanaume kamili

Ila hakuna Tusi linalouma Kwa mwanaume kamili kama kumwambia yeye shoga
 
Mama anauma sana sidhani kama kuna aliezaliwa na mwanamke ambaye atavumilia mama yake kudhalilishwa mbona kipindi kile walitukanana yakaisha hata ingekua mimi umtukane bimkubwa wangu sikuachi!
 
Ugomvi wameanza wao mwisho wanakimbilia police.
 
Hata mimi ningemshitaki kwa kumtukana mzaz nampongeza sana
 
Scandal ya ushoga ndiyo imemfanya ahojiwe...
 
Sema dimpoz atamshataki kwa ground zipi? Mondi hakumtaja jina huyu yeye kaweka na picha kabisa.
 
kumtukana mzazi wa mwenzio ni ukosefu wa adabu na sio maadili yetu ya kitanzania na ahta kuna faragha waliifanya haipaswi kuweka hadharani
Kwani kutukana kuna mazingira sio ukosefu wa adabu?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…