Tetesi: Diamond Platnumz ampeleka Ommy Dimpoz polisi

Sema dimpoz atamshataki kwa ground zipi? Mondi hakumtaja jina huyu yeye kaweka na picha kabisa.
Hata Mondi hana ground Za kisheria Za kumshitaki Dimpoz, kwani kuna tatizo kisheria Dimpoz akiwa baba wa diamond?
 
HAKUNA ASIEJUA KAMA OMMY DIMPOZ NI SHOGA.NA KAMA HUJUI BASI SUBIRI SIKU AINGIE KWENYE 18 ZA MANGE.KUNA PICHA NA FULL VIDEO ZA OMMY AKILIWA KIBOGA UK.
Maadili ya jamii forum hayaruhusu video hizi

Unaweza thibitisha maneno yako???
 
Kumuingiza MAMA ktk kiki na maugomvi a ya kijinga...ilikua extreme.

Lakini kila siku tunasemahapa.

ELIMU ELIMU ELIMU......
Uniite shoga, halafu unataka unichagulie nikujibu vipi??????
Well nitakuja na silaha zote nilizonazo, shwain!
 
Jamani nijuavyo hakuna Mahali Diamond Kamtaja Jina Mtu. Ila kupost maneno machafu na picha ya mama wa mtu aisee....
Halafu watu wanampiga Tundu Lisu risasi wakati kuna hawa wanaachwa achwa tuu wanasavaivu!
Sasa Kama kweli kamla
 
Japo Ommy alipitiliza kwa kumsema vibaya mzazi wa Diamond, ila angeacha lipite maana ugomvi aliuanzisha yeye.
What if naye akimshataki kwa kumwita shoga?
Ukianzisha ngumi ukapigwa panga la kalio usilalamike maana hatupangiani silaha
Nauliza tu hivi alitamkaga kweli kwamba ommy ni shoga kwa kiswahili standard au alifumba
 
Nauliza tu hivi alitamkaga kweli kwamba ommy ni shoga kwa kiswahili standard au alifumba
Kama alifumba kwenye macho ya sheria inaweza kuwa hakumtukana yeye ila kwa wanaojua mahakama ya kitaa alisema shoga
 
Alipishwe faini tu yaishe, wenzake wanatumia Tafsida kutukana yeye asiye na akili timamu anaweka matusi hadharani na picha kabisa kukazia unachomaanisha
 
Amepanic.
Kama jamaa naye akiamua kumshataki kama yeye alivyofanya atatoa wapi ushahidi kwamba Ommy ni shoga.
IQ zetu ni ndogo sana,ktk kisa kile hakuna sehemu alipomtaja jina wala kuweka picha ya Ommy kwenye maandiko yake,hiyo ni akili

Ujinga aliyofanya Ommy ni kujiingiza kichwa kichwa kwenye matusi yaliyoingizwa kwenye sanaa na kurushwa jiwe gizani,Paaah Ommy akahisi kapigwa yeye.

Too bad ujinga wao mmoja wao akaingiza wazazi. Na hili liwe fundisho kwa wote wachaguao kuattack wazazi kwa ujinga wao binafsi
 
Yaani mimi ningekua dimpoz ningesema ni kweli nilitembea nae na sio dhambi sasa shida ipo wapi?

Mond mchokozi kajibiwa anapanick, anapenda kujiona yeye ndiyo ana haki ya kila kitu
 
unajua ommy kumshtaki diomond hatoweza kwasababu diomond hamna sehemu alipo msema mwenzie waziwazi kwa jina katumia mafumbo,sasa ommy katumia picha vibaya hivyo achomoki hiyo kesi,lazima apatikane na hatia kabisa.
 
Yaani mimi ningekua dimpoz ningesema ni kweli nilitembea nae na sio dhambi sasa shida ipo wapi?

Mond mchokozi kajibiwa anapanick, anapenda kujiona yeye ndiyo ana haki ya kila kitu
sheria hujui wewe,utakuja fungwa,u better zeep up ur mouth for the sake of ur head.kinywa kiliponza kichwa
 
Simba akila mtu ni habari.. Ila mtu akila simba ni habar ya kusisimua zaidi.. Ommy kala Mama simba ni habar ya kipolisi
 
sheria hujui wewe,utakuja fungwa,u better zeep up ur mouth for the sake of ur head.kinywa kiliponza kichwa
Ni kweli sijui sheria mkuu maana sijaisomea, ila nielimishe kidogo kwa kunijibu hili swali.
1. Kutembea na mtu hata akiwa kanipita umri na nikawaambia watu ni kosa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…