Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hii promo anayopewa kiba,hata pasipohusika ndio inamlemaza atoboe kwa msoto wa mwenzie.uzuri wa kibakuli anafanya kazi na kusaga ila hana showoffs
Kweli mzeeTusioelewa kinachoendelea tujuane hapa.Kufuatilia na kuelewa umbea wa bongo inahitaji kipaji cha kipekee.
Kuna team imenuna hapa... Wapuuzi kweli.
Upo sahihi mzee.Matajiri siku zote huwa hawana chuki wao kwa wao, chuki ipo kwa maskini kwa maskini na kwenda kwa matajiri
Yule mzee atoe wapi show offs[emoji1787][emoji1787][emoji1787]uzuri wa kibakuli anafanya kazi na kusaga ila hana showoffs
Acha ujinga, diamond ndo boss hapo.Haiwezekani boss kuwa na uadui na mfanyakazi wake. Safi kabisa. Mambo yanazidi kujifunua.