Diamond Platnumz amsifia Kusaga

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
Joined
May 3, 2020
Posts
2,415
Reaction score
3,924
Kupitia wewe nimejifunza na naendelea kujifunza vingi. Asante kwa kuendelea kusupport Vijana. Asante kwa njia ya Sanaa uliyoichonga, Sasa inakomboa Vijana wengi mtaani.. @Josephkusaga

 
Haiwezekani boss kuwa na uadui na mfanyakazi wake. Safi kabisa. Mambo yanazidi kujifunua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…