Diamond Platnumz amuarika Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli kwenye show yake uwanja wa taifa.

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2016
Posts
1,193
Reaction score
828

@DiamondKaranga pakiti moja shilingi Mia hiizi...
LADIES AND GENTLEMEN JUS WANTED TO LET YOU KNOW THAT'''
TAREHE 05/08/2017 PALE TAIFA MGENI RASMI ATAKUWA MKUU WA NCHI THE MAIN MAN, MR PRESIDENT JOHN POMBE MAGUFULI....NAAMINI MPAKA SASA HUNA TENA WASIWASI JUU YA SWALA LA USALAMA...NASEMAJE [HASHTAG]#TWENZETUTAIFA[/HASHTAG] KIINGILIO BUREE!!!
Diamond Platnumz said.
 
Hofu yangu ni pale unapovaa msuli sehemu yenye upepo mwingi ..... mwenye macho haambiwi tazama
 
Hata wngekuwa Wanatoa na hela nisingeenda

Send by Nokia 3310 from mbalizi-mbeya
 
Mwaka 2020 kuna hatari mtu akapata overconfidence,,

manake sasa hizi watu wanaficha hisia zao mioyoni mwao na kutundika tabasamu usoni,
sasa kuna hatari watu wakawa na false sense of security concerning ballot box,
lakini akiweza kusolve hii issue ya makinikia,atapita kama analia vile
 
Protection inatafutwa hapo
Diamond mjanja sana

Maelekezo na Maamuzi kutoka Juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…