Diamond Platnumz amwambie Mwijaku too much is harmful

Diamond Platnumz amwambie Mwijaku too much is harmful

Broadcast

Member
Joined
Jun 19, 2022
Posts
76
Reaction score
285
Jana kwenye uzinduzi wa 7 Media ya Baba Levo niliona kumbe Mwijaku hana shida na Diamond wako poa kabisaa.

Pointi yangu natamani sana Diamond amwambie mwijaku hata kama anamkubalia amtukane ili apate content za kumpa pesa lakn hasizidishe matusi na dhihaka anazomfanyiaga Diamond.

Maana kuna wakati anazidisha mpaka inakua kero
 
mwinjaku yupo kwenye paylist ya lukuga ..code hii
 
Diamond ni akili kubwa sana kwa namna yake siku akifa hiyo itajulikana hamuwezi ona now,usishangae anamlipa Mwijaku!... Huku Baba levo anasifia kule Mwijaku anaponda alimradi akiki.kukiki ndiyo pesa....
 
Back
Top Bottom