Funguka zaidi mkuuVijana wa nchi hii wana mchango hafifu sana kwa maendeleo ya taifa lao
Ahahah..hamna mkuu. Nimemnukuu Magufuli katika mojawapo ya speech zakeFunguka zaidi mkuu
Ova
Je wewe unamchango upi.maana ungekuwa unaushauri wa maana wowote saivi tusinge kopa.kopa ovyo kwa wenzetu.Vijana wa nchi hii wana mchango hafifu sana kwa maendeleo ya taifa lao
NAn kakutuma kukopa kopa??Je wewe unamchango upi.maana ungekuwa unaushauri wa maana wowote saivi tusinge kopa.kopa ovyo kwa wenzetu.
Gari ni nini mkuu maana Kwa kikuria ni jina hasa hasa la mzaliwa WA Kwanza WA kikeHaya ndiyo mambo wabongo tunayoyaweza...
Subirini gati # 3 lichukuliwe
Ova
Gati huko bandarini 😄Gari ni nini mkuu maana Kwa kikuria ni jina hasa hasa la mzaliwa WA Kwanza WA kike
Mimi sio taifa lako ungetoa ushauri ili wasikopeNAn kakutuma kukopa kopa??
Mkuu sasa ukitaka hawa waongelee habari za Artificial Intelligence waanzie wapi?Haya ndiyo mambo wabongo tunayoyaweza...
Subirini gati # 3 lichukuliwe
Ova
😄Mkuu sasa ukitaka hawa waongelee habari za Artificial Intelligence waanzie wapi?