Diamond Platnumz anaendelea kung'ara kimziki. Tunataka tuwe na wasanii kumi kama hawa tuwasapoti vijana tuache majungu

Diamond Platnumz anaendelea kung'ara kimziki. Tunataka tuwe na wasanii kumi kama hawa tuwasapoti vijana tuache majungu

exalioth

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2016
Posts
2,263
Reaction score
3,897
Kijana ameanza vizuri huu mwaka
Tusapoti vipaji ili tue na wasanii 20 kama diamond
Screenshot_2020-03-04-23-15-06.jpeg

Exalioth

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mondi ni msanii wakawaida bt kawazidi wenzake kwenye branding, natabiri huyu jamaa miaka 5 ijayo atakuwepo kwenye top 10 ya matajiri tz.
 
Back
Top Bottom