Nakibaliana na weweMondi ni msanii wakawaida bt kawazidi wenzake kwenye branding, natabiri huyu jamaa miaka 5 ijayo atakuwepo kwenye top 10 ya matajiri tz.
Hawaelewi kua maendeleo hayana chamaWengi wanao mchukia diamond ni kutokana na life style yake lakini kimuziki bongo hana mpinzani..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfalme uchwara namuona anapambana sana ila ngoma ngumu
A k A nguvu ya umemeSimba aka chibu di chibu de diamond platinumz,anatosha peke yake no more,
Yoooh papiriniii papiriniii.
Sent using Jamii Forums mobile app