mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
Kwa nini akane kaka au ndo umjini mwingi. Maama ingekua mimi ningependa sana kukumbuka nilikotokea na ingewezekana ningefanya remix,atakana mkuu kuwa sio yeye
Nimejaribu nimjue nimeshindwauyo demu ni nani??
Mbona kama Bizzy Babylon (Mr blue) ama ni sauti tu zimefanana..!?Kwa nini akane kaka au ndo umjini mwingi. Maama ingekua mimi ningependa sana kukumbuka nilikotokea na ingewezekana ningefanya remix
Huyo ni yule Raisi pekee Tanzania wengine woote wazushi tu. Ues nimesema wengine woote wazushi [emoji16] sasa msianze kuntafuta nitaje majinaMbona kama Bizzy Babylon (Mr blue) ama ni sauti tu zimefanana..!?
Dah mbali sana asee. Ukiwaweka pamoja unaona gap kubwa sanaWatu watoka mbali
Mkuu huo mdomo ni wako? Kama ndio unaweza kuutumia?hahahahah
niwangu natumia kila siku.Mkuu huo mdomo ni wako? Kama ndio unaweza kuutumia?
Nimehoji tuu
Ni PM tuzungumzeniwangu natumia kila siku.
uyo demu ni nani??
Nimejaribu nimjue nimeshindwa