[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] watu tunatoka mbali sanaaaa!Msanii gwiji Mond, Dangote, Chibu, D'billion na majina mengine kibao anayojiita je anakumbuka huku alikotoka.
KIJANA YEYOTE KIJANA MWENZANGU TIA BIDII LOLOTE UNALOFANYA MUNGU ANAKUONA NA IPO SIKU ATAKUFUNGULIA NJIA USIKATE TAMAA
[emoji51] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa Muha tu, atakuambia si yeye kwa sababu huyo kijana ni mdogo mno na yeye ni mtu mzima kwanza hajawahi kuwa bishololo kama huyo dogo kwenye video.
Saaaana asee[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] watu tunatoka mbali sanaaaa!
[emoji51] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hehe mbona kama una bifu na waha? Kuna muha alikukereketa nini?Waha ni mwisho wa ubishi....anashindana na redio na anatapa kaishinda redio. Mwangalieni Zitto, ataanzisha hoja Bungeni ili abishe tu na usikut hata hajuwi jibu lakini atabisha. Waha sina hamu nao, kwa ubishi wa kijinga....hawana mfano hapa Tanzania hata waluguru hawafui dafu kwao.
Hehe mbona kama una bifu na waha? Kuna muha alikukereketa nini?
Mkuu! Huu mwimbo wameutoa unaweza kuuweka tena?Msanii gwiji Mond, Dangote, Chibu, D'billion na majina mengine kibao anayojiita je anakumbuka huku alikotoka.
KIJANA YEYOTE KIJANA MWENZANGU TIA BIDII LOLOTE UNALOFANYA MUNGU ANAKUONA NA IPO SIKU ATAKUFUNGULIA NJIA USIKATE TAMAA
Sawa sawa nipe daika chacheMkuu! Huu mwimbo wameutoa unaweza kuuweka tena?
nilitazamia ungeanza wewe!Ni PM tuzungumze
WBCKwan diamond ni mchezaj wa tim gan hapa tanzania