Diamond Platnumz anavuna alichopanda. Wasanii wenzie wasilazimishwe kumuunga mkono. Mmesahau ya Fiesta kipindi cha Makonda?

Hajasema kwa uwezo wake binafsi ila si kwa uwezo wa clouds media ni kweli clouds waliacha ku support kazi za mondi muda mrefu sana ,kama ni msanii mwenye roho nyepesi unakata tamaa kutokana na kujua position ya cmg ilivyokuwa aswa kwenye ushawishi na ukizingatia they are not on your side.... Vaa hicho kiatu uone kilivyo kikubwa.
 

hata movement ya mwijaku juu ya hizi tuzo kwa mond unatakiwa uichukulie possitive.

kama una mawazo hasi muda mwingi ndio mwanzo wa kufeli,huwenda wasingemkazia asingekuwa na studio yake binafsi leo hii

mwijaku anaamsha waliolala na wanapenda mafanikio ya mondi kwenda kumsaport ndugu yao,kwamba kuna vita kubwa ya kushusha.
 
Muda utaongea kaka, relax!
 
Diamond asijione yuko salama kupostiwa na wasanii ambao hua hapendi kazi zao kufanya vizuri, in short wanajua kwamba diamond hua anawabania, huu unaweza ukawa ni mtego mkubwa sana kwa diamond. Asipokua makini ndio itakua mwisho wake!
anawabania vipi mkuu? kwamba wakitoa nyimbo hazipigwi au anazima social networks wananchi wanakosa access na kazi zao?
 
Diamond asijione yuko salama kupostiwa na wasanii ambao hua hapendi kazi zao kufanya vizuri, in short wanajua kwamba diamond hua anawabania, huu unaweza ukawa ni mtego mkubwa sana kwa diamond. Asipokua makini ndio itakua mwisho wake!
Unachekesha sana chief!
 
Walioanzisha na wanaochochea n wanaharakat wa upinzan pamoja na wanasiasa wa upinzan

Sasa Kwa mtindo huu mnatupa khofu
Mkipewa nchi mtakuwa watu wa visas vingi sana pengine mtazid uovu,rushwa ufisad kuliko hata hawa ccm tunaowachukia sasa hv

Coz
Anayelipiza Huzidisha
 
Bora nikamchague Kingwendu. Huyu muimba matusi anawenzake watamchagua CCM ndio wamchague.
 
The more you talk about this issue, the more you are giving him credit
 
Watu mnaowafatilia hawa vijana wavaa milegezo mnakazi sana , kijana wa kiume anajipaka lipstick ahahaha
 
Tushikamane kama taifa kutetea raia
 
tanzania wajinga wengi sana sikuwahi kujua tundu lissu ana akili ndogo kiasi hiki, yaani mtu kua mpenzi wa chama anachokitaka imekua shida?? Hata mm sikipendi chama cha mapinduzi ila tusilazimishane mapenzi kila mtu afuate chenye manufaa kwake tusilazimishane
 
Mshindi atachukua US$ ngapi ili tujue tunafanyaje!
Nalog off
 
Yaani mimi niipigie kura ccm[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Jana nimeshangaa wasafi kupiga wimbo wa Ali kiba sikupata jibu labda ndo kutafuta sapoti nje ya box
 
Achana!! na dogo aisee wacha afanye kazi mwacheni wivu hakuna msichojua kuhusu huyo dogo kuanzia elimu yake na mafanikio yake sasa zaidi unataka usaidiwe nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…