Diamond Platnumz anawadanganya wafuasi wake eti wimbo wake unaongoza UK!

Kwnz wmbo n wakawaida sna!! Neyo hajfnya k2 coz beat ipo kinaija, Imemshinda

~Cmb
 
kwani hapo ulichoshindwa kuelewa ni nini?!!! Acha kujifanya mjuaji mleta huu upuuzi..
Na kulingana na post yake kuandika malengo na siyo ndo nyimbo inaoongoza UK miss natafuta punguza mahaba
 
kwani hapo ulichoshindwa kuelewa ni nini?!!! Acha kujifanya mjuaji mleta huu upuuzi..
Mtoa mada hajui hata maana BONAS TRACK , nyimbo ndo mpya lazima ipitie kwanza bonas track ndo iingie kwenye chart.
Analeta ujuaji wakati hajui
 


Ndiyo kuchanganikiwa huku baada ya kuitwa na Makonda central. Diamond ana nyimbo gani za kupiku chati ya US au Uingereza? Pengine alifikiri akiwa na Ne-Yo atahit Uingereza.
 
Haaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…