Diamond Platnumz anawadanganya wafuasi wake eti wimbo wake unaongoza UK!

NE-YO kajitoa tu lawama tatizo huyu msanii wetu kila nyimbo yeye iko speed utadhani anakimbizwa mpaka na yeye beat inamshinda kuna wakati u anatakiwa kuslow vitu hasa nyimbo hiz n wasanii wa kimataifa sio kila mtu anapenda nyimbo za klabu
 
Au alikuwa anamaanisha.........UK.........Ukonga?........nimewaza tu........
 
Alimaanisha Ukerewe, siyo kila UK ni United Kingdom
 
Hahahaaaa na jamaa anawakimbiza sana mtahangaika mno


Tatizo la team kiba ni kuingana na ma ex girlfriend wake ndo wanawafanya mnakua na gundu na vile mmoja yuko selo hahahaha ndo kabisaa mmenuna mpaka basi

Nyimbo nzuri sana tu acheni wivu wa kike
 
Jaman UK inayozungumziwa hapa ni ukonga,,,maana bar zote kuanzia aitel,java,big Johnny,ukonga recresion,mama land,uefa,vascodagama zinaipiga sana hii ngoma,,so inawezekana ni UK ya huku
 
Itakua ni UK maana take ukonga
 
Ingekuwa enzi zile mpaka twende internet cafe labda,lakini siku hizi taarifa za dunia ziko kiganjani hampati mtu.
 
Kufanikiwa wabongo ipo kazi! mtu hajaelewa hata maana ya hiyo post anakimbilia kuponda!
Tunapenda maendeleo ila tunawachukia wenye maendeleo
 
Labda UK ya ukerewe, huyo Diamond mwenyewe hata hawamjui zaidi ya watz wachache tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…