Diamond Platnumz anawadanganya wafuasi wake eti wimbo wake unaongoza UK!

[emoji23] [emoji134] labda UK *UKONGA* mkuu
 
UK ni kubwa labda redio ya mtaa
 
toka aliposema alilipwa bilioni 2.2 alafu akalipa kodi milioni 35 sijawahi kumuamini mpaka Leo.
 
Ukilala diomond,ukiamka domo,ukiwa na njaa mondi kiu chibu,ugonjwa hasa wa akili chibudee,ukiwashwa baba Tii!!!jamani ndomo utatuuaaaa
 
Nadhani kilichotokea hapa Noorah huwa anakiita "Lugha Gongana". Hiyo post mbona inajieleza kabisa.
 
HIV mtakuwa mashabik wa mafanikio ya wanaume wenzenu mpaka lin???????hiz IQ hizi cjui n mbiliii????
We waonaje? Kipi bora kushabikia mafanikio ya mwanaume mwenzio au kuchukia mafanikio yake. Huoni kwamba mwanaume anapofanya vizuri anastahili kupongezwa ama? Ila mwanaume anapaswa kushabikia mafanikio ya mwanamke na sio vinginevyo ama? Na bado unaamini wanafanya hivyo wana-IQ mbili sio? Maajabu hayawezi kuisha.
 
Binadamu wengine bhana
Fanya kazi upate pesa but achana na mond tayari anazake
 
Nimeona video clip Ali Kiba anaimba na live band, kumbe na yeye anaimbaga Ndombolo kama Wazee wa Ngwasuma? Maendeleo.
 

Nilipoona hii picha nimeshtuka nikidhani Harmorapa ameshatoboa mpaka kwa Ne-Yo,nilipotuliza akili ndio nikagundua ni Diamond.
Hahahah
 
Hata kama aujashika no 1
Em wewe tuoneshe hata tuzo moja uliyopewa na m/kit wa mtaa wako kwa kuwa mvuaji mzzur kwa mwaka 2016
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…