Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Wabongo wanafiki sana, unarusha dongo kwa mwanaume mwenzio wakati wewe hata baiskeli ya kuazima tu huna.Badala ya kuwekeza kwenye elimu anaanza mashindano.
Ukute mwenzako amepaki gari nyingi tu nyumbani kwake wewe hata starlet huna. Usimdharau mtuWabongo wanafiki sana, unarusha dongo kwa mwanaume mwenzio wakati wewe hata baiskeli ya kuazima tu huna.
MweeeAli Kiba analo kama hilo tangu mwaka juzi sema aliendeshi tu, hapendi show off.
Safi sana kwa kum blast huyu jamaa maana katoa shuduWabongo wanafiki sana, unarusha dongo kwa mwanaume mwenzio wakati wewe hata baiskeli ya kuazima tu huna.
Ha2jasema hana team kiba ila tumesema mond kanunuaAli Kiba analo kama hilo tangu mwaka juzi sema aliendeshi tu, hapendi show off.
Eeheee elimu elimu.....ajira ajira...mwache atumie pesa yakeBadala ya kuwekeza kwenye elimu anaanza mashindano.
Kwani MTU anasoma ili aweje?na je kama akili ni za kuunga kibashite bashite alazimishe? Kajitahidi kujua lugha, kuhesabu hela + kipaji na vinampa kipato cha kutosha iliyobaki ale maisha tu hakuna haja ya kuangaika na shule.Badala ya kuwekeza kwenye elimu anaanza mashindano.
Badala ya kuwekeza kwenye elimu anaanza mashindano.