Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila mambo mengine bana mi ni shabiki wa Diamond ila vitu vingine vinashangaza, sasa 'Nasema nawe' una uzuri gani wa kufikia hatua ya kuwa wimbo bora wa Africa? This is too much, ni bora wangeupa NANA ningewaelewa
Ni sheedah, vp kingkiba kanyakua ngapi?
Atakuja na thread "Napinga ushindi wa Diamond.".
Hizo tuzo za vichochoroni na kuhonga hazimsaidii chochote,,Hata wanaigeria hawana habari nazo..Diamond ameshachuja kimziki,,
Ooh na we. N moja Kati ya wanigeria msiokuwa na habari kuhusu izi tuzo 😀
davido yuko south afrika hizo tuzo hazijjui.. Wanigeria wenyewe hawazijui.. ni tuzo za vichochoroni
Hizo tuzo za vichochoroni na kuhonga hazimsaidii chochote,,Hata wanaigeria hawana habari nazo..Diamond ameshachuja kimziki,,
ameshinda category ipi na ipi jaman.yaan kama nawaona mashabiki wa kiba mwakan watakapopiga kura kwa fujo katka tuzo za ktma maana uwezo wao wa kuchukua tuzo ndo upo hapo