Diamond Platnumz anyakua tuzo 3 AFRIMA, Vanessa Mdee aleta Moja nyumbani

Nasema wooyo woyo woyo

Nani asopenda, kujinafasi, asopenda hahahahahahahahahahahahahahaha

Kibwagizo kwa hisani ya msaga...
 
Sijawahi changia kwenye nyuzi za mtindo huu, leo
nimeona sio mbaya kuuliza humu.

Hivi huyu dogo Diamond hizi tuzo tatu kwa wakati mmoja amepata kwa kuimba kitu gani?

Jomba nani kakwambia kipindi cha maswali na majibu hiki?? Afu unauliza pumba, kama umedandia gari kwa mbele nenda kwenye pages zao uwaulize

HAPA TUMEKUJA KUMPONGEZA ICON OF THE NATION au sio brother pwilo

Nasema woyo woyo woyo, Nampenda Chibu mshabiki wa damu....
 
Last edited by a moderator:
Nasema nawe chezea viuno vile lazima watu wadate, wa west wanaupenda sana kitu tofauti kitu kiafrika hadi raha

Hongera Baba Tiffah aka Mume wa Zari.
 
Ila mambo mengine bana mi ni shabiki wa Diamond ila vitu vingine vinashangaza, sasa 'Nasema nawe' una uzuri gani wa kufikia hatua ya kuwa wimbo bora wa Africa? This is too much, ni bora wangeupa NANA ningewaelewa

Watu wameupenda na kuupenda na kuupenda

Ubantu oyeeeee, viuno oyeeeeeee, mipasho oyeeeeeeeeeeeeee

Kwani havipo kwenye maisha ya kila siku hayo....

Hongera Chibu
 
ameshinda category ipi na ipi jaman.yaan kama nawaona mashabiki wa kiba mwakan watakapopiga kura kwa fujo katka tuzo za ktma maana uwezo wao wa kuchukua tuzo ndo upo hapo

Wamepiga sana mwaka huu labda ni kwamba chati imefifia, ila pia ni wachache na Chibu ni wa kimataifa fans duniani anao na nchini hapa bado anapendwa sana.

Nani asipende anayejituma, akapende mtafuta bifu ili apate chati.

Hongera kwake
 
Kwa kweli suti hiyo ya Chibu leo imemtoa na sura ameng'ara

Hapo mkewe Zari angemuongezea tachi tachi si ingekuwa hatari

nimepata hamu ya kumkumbatia na kumpa bonge la busu la shavu.

Yaani ulishaini hadi raha Chibu wetu.
 
Sijawahi changia kwenye nyuzi za mtindo huu, leo
nimeona sio mbaya kuuliza humu.

Hivi huyu dogo Diamond hizi tuzo tatu kwa wakati mmoja amepata kwa kuimba kitu gani?

Upo Anambra unatuuliza sie wa Tandale? Si usome posti juu au ndimu inakuhusu
 
Nasema nawe chezea viuno vile lazima watu wadate, wa west wanaupenda sana kitu tofauti kitu kiafrika hadi raha

Hongera Baba Tiffah aka Mume wa Zari.

Nasema nawe bonge moja la dude, sema tu kwa Tanzania mziki wa mduara haukubaliki kiivo na hata kukiki kwake ilikuwa kwasabababu aliimba diamond.. Ila kwa wenzetu ulisumbua sana charts za redio kubwa hdi kitaa, ni vile tu video yake haikuwa na quality kiivo isumbue video charts..
 
Sijawahi changia kwenye nyuzi za mtindo huu, leo
nimeona sio mbaya kuuliza humu.

Hivi huyu dogo Diamond hizi tuzo tatu kwa wakati mmoja amepata kwa kuimba kitu gani?

Kwa kuimba muvie
Swali gani hilo unauliza sas! Inamaana hujui kama anaimba nyimbo au!!
 
Sijawahi changia kwenye nyuzi za mtindo huu, leo
nimeona sio mbaya kuuliza humu.

Hivi huyu dogo Diamond hizi tuzo tatu kwa wakati mmoja amepata kwa kuimba kitu gani?

Kwa kumuimbia Mh. Rais wimbo wa kampeni
 
Ila mambo mengine bana mi ni shabiki wa Diamond ila vitu vingine vinashangaza, sasa 'Nasema nawe' una uzuri gani wa kufikia hatua ya kuwa wimbo bora wa Africa? This is too much, ni bora wangeupa NANA ningewaelewa

Nana imesumbua sana kama video na dance moves ila kiupande wa wimbo huwezi kufananisha na nasema nawe.. Unajuwa maadhi ya mduara yanaendana flani na ladha ya muziki wa west Afrika, unaweza chukulia mfano mwepesi ladha ya "aye" ya davido, kitu kilichofanya nasema nawe ifanye vizuri kuliko hata nitampata wapi japokuwa tukizungumzia tanzania na East african nana na nitampata wapi zimefanya poa zaidi..

Wengi hatuelewi mziki wa mduara kwasababu ya mipasho, lakini unapozungumzia mziki mzuri kwa Afrika ni zaidi ya hapo kwasababu kinachoimbwa hakina uzito kiivo, hata kama ekotite anayomaanisha koffiolomide ni tusi basi wengi tumetukana bila kujali inamaana gani, kilichotuvuta ni flow yake, manjonjo, na ubunifu vitu muhimu sana kumvuta hata yule asiyeelewa lugha unayoitumia apende kazi yako kwa maana kiswahili tunaongea nchi kama tatu tu (nahapo ukienda Ug asilimia kubwa bado hawajui kiswahili,) kati ya nchi 54 za Afrika hata utumie misamiati ya kuelimisha dunianzima haiwezi kukusaidia kutoboa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…