Diamond Platnumz apanda bei

Diamond Platnumz apanda bei

ChickMagnet

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
2,676
Reaction score
3,451
Ndo kama hivo
 
Attachments

  • Platnumz..jpg
    Platnumz..jpg
    74 KB · Views: 857
Msiwasikilize hao wakenya waongo, walioarrange hiyo shughuli ni matapeli wanajulikana UK nzima, walitaka kuwatapeli watu hela ya kiingilio wakati wanajua for fact diamond bado awajakubaliana naye, Wakenya wanataka kujikosha tu huko africa, wameona kimewaka huku watu wanawashambulia sana kwenye ma blog, mbona jaguar kademand the same shit on KTMA na awajasema kitu....KENYAN FULL OF RUBISH...

Sent from my iPhone 5c using JamiiForums
 
Kuna wakenya wajinga sana, mbona jaguar alitaka zaidi ya hiyo?
 
Msiwasikilize hao wakenya waongo, walioarrange hiyo shughuli ni matapeli wanajulikana UK nzima, walitaka kuwatapeli watu hela ya kiingilio wakati wanajua for fact diamond bado awajakubaliana naye, Wakenya wanataka kujikosha tu huko africa, wameona kimewaka huku watu wanawashambulia sana kwenye ma blog, mbona jaguar kademand the same shit on KTMA na awajasema kitu....KENYAN FULL OF RUBISH...

Sent from my iPhone 5c using JamiiForums
Kuna baadhi ya wakenya wana dharau sana.
 
Msiwasikilize hao
wakenya waongo, walioarrange hiyo shughuli ni matapeli wanajulikana UK
nzima, walitaka kuwatapeli watu hela ya kiingilio wakati wanajua for
fact diamond bado awajakubaliana naye, Wakenya wanataka kujikosha tu
huko africa, wameona kimewaka huku watu wanawashambulia sana kwenye ma
blog, mbona jaguar kademand the same shit on KTMA na awajasema
kitu....KENYAN FULL OF RUBISH...

Sent from my iPhone 5c using JamiiForums

Vp Umempata fundi wa CCCTV?
 
Back
Top Bottom