Diamond Platnumz apanda bei

ChickMagnet

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
2,676
Reaction score
3,451
Ndo kama hivo
 

Attachments

  • Platnumz..jpg
    74 KB · Views: 857
Msiwasikilize hao wakenya waongo, walioarrange hiyo shughuli ni matapeli wanajulikana UK nzima, walitaka kuwatapeli watu hela ya kiingilio wakati wanajua for fact diamond bado awajakubaliana naye, Wakenya wanataka kujikosha tu huko africa, wameona kimewaka huku watu wanawashambulia sana kwenye ma blog, mbona jaguar kademand the same shit on KTMA na awajasema kitu....KENYAN FULL OF RUBISH...


Sent from my iPhone 5c using JamiiForums
 
Kuna wakenya wajinga sana, mbona jaguar alitaka zaidi ya hiyo?
 
Kuna baadhi ya wakenya wana dharau sana.
 

Vp Umempata fundi wa CCCTV?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…