Freelancer Wakala
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,193
- 828
HONGERA[emoji815] Platnumz kwa kupata "likes" na "follows" Million Mbili katika ukurasa wake wa "FACEBOOK"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maskini Utamjua tu kwa muandiko wake.Hii sio habari ya kusisimua.
Nakushauri siku nyingine usiweke habari za kipuuzi puuzi namna Hii eboooooo
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Hii akaunti bado ipo
Sikuhizi wamehamia Instagram na YouTube.Hii akaunti bado ipo
Sana, dogo dream yake ya kuja kumiliki RR aliiweka wazi miaka mingi iliyopita na wananzengo walimcheka na kumkebehi sana.Rolls royce Musician
Hivi alikuwa na ndoto za kununua hiyo gari tangu kitambo au
Basi hongera yake kwa kuifikia ndoto.Sana, dogo dream yake ya kuja kumiliki RR aliiweka wazi miaka mingi iliyopita na wananzengo walimcheka na kumkebehi sana.
When you set your goals just focus and don't get distracted by bystanders, some stupid haters will mock, laugh and ridicule you trying to distract you from achieving those goals.
Dogo Sadala kapambana lakini the crazy shit is kuna watu from their opinions ni kama wamechukizwa kwa kitendo chake cha kufanikisha kununua hiyo Rolls-Royce.
Wewe ndio umechukizwa maana si kwa povu hili.....Sana, dogo dream yake ya kuja kumiliki RR aliiweka wazi miaka mingi iliyopita na wananzengo walimcheka na kumkebehi sana.