Diamond Platnumz apiga bonge la shoo Coco beach kwenye Coke studio

Diamond Platnumz apiga bonge la shoo Coco beach kwenye Coke studio

Nukta5

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2014
Posts
1,182
Reaction score
1,288
Licha ya kupata zomea zomea wakati wa fiesta kijana diamond ameonekana kutojali na kuwa na confidence ya kupanda jukwaani tena bila kuhofia buu buu alizopata wakati wa fiesta na kufanya shoo ya kwa muda wa lisaa limoja na nusu kwenye viwanja vya Coco Beach.

Na muda wake wa kuondoka ulipofika ikabidi nguvu ya ziada itumike kuondoa mashabiki waliozingira gari lake kwa muda kadhaa wakitaka japo kumuona kijana huyo.

Big up kwake kwa kuonesha kutovunjika moyo na kupata confidence ya kumiliki jukwaa.
 
Naona dadamond katoa pesa nyingi sana kulipa watu kwenye mitandao ya kijamii ili wampe promo baada kuona anataka kuangukia pua mbona kiba hana hayo mashauzi lakini anatusua tu nyimbo moja tu imewakaba sehemu zote.
 
naona dadamond katoa pesa nyingi sana kulipa watu kwenye mitandao ya kijamii ili wampe promo baada kuona anataka kuangukia pua mbona kiba hana hayo mashauzi lakini anatusua tu nyimbo moja tu imewakaba sehemu zote

Nyimbo moja??? Kiba katoa nyimbo 2 bwana zote mbovu ila nwana ina afadhali
 
naona dadamond katoa pesa nyingi sana kulipa watu kwenye mitandao ya kijamii ili wampe promo baada kuona anataka kuangukia pua mbona kiba hana hayo mashauzi lakini anatusua tu nyimbo moja tu imewakaba sehemu zote

unataka kusema ni uongo hajapiga show kali au maana hujaeleweka. Mkuu penye ukwel lazima paongelewe. Chuki za kipumbavu zitakuua
 
Diamond ametajwa na Channel O kuwa ni msanii aliyebadilisha music wa Africa
 
Alipaform nusu saa na sio lisa na nusu. Diamond has one big problem, na ni kubwa sana. He has poor vocals, ana perform na playback music sio beat, akiimba sauti yake utakimbia. Joh makini performed next after dangote, jamaa ana flow na beat tu, na alimfunika mbaya
 
wana wivu haooo haooo wachonganishi haooo haoooo thax god kwa huyu kijana na msiompenda mtaaibika mchana kweupe
 
Alipaform nusu saa na sio lisa na nusu. Diamond has one big problem, na ni kubwa sana. He has poor vocals, ana perform na playback music sio beat, akiimba sauti yake utakimbia. Joh makini performed next after dangote, jamaa ana flow na beat tu, na alimfunika mbaya

Mi nitakuwa wa mwisho kuamini taarifa yoyote kuhusu Daimond inayoletwa na mashabiki wake.
 
Mimi pia nimemshuhudia JOH akiua coke studio,,

huu u dai dai u kiba kiba lazima upotee hapa.
 
Back
Top Bottom