naona dadamond katoa pesa nyingi sana kulipa watu kwenye mitandao ya kijamii ili wampe promo baada kuona anataka kuangukia pua mbona kiba hana hayo mashauzi lakini anatusua tu nyimbo moja tu imewakaba sehemu zote
Nyimbo moja??? Kiba katoa nyimbo 2 bwana zote mbovu ila nwana ina afadhali
naona dadamond katoa pesa nyingi sana kulipa watu kwenye mitandao ya kijamii ili wampe promo baada kuona anataka kuangukia pua mbona kiba hana hayo mashauzi lakini anatusua tu nyimbo moja tu imewakaba sehemu zote
unataka kusema ni uongo hajapiga show kali au maana hujaeleweka. Mkuu penye ukwel lazima paongelewe. Chuki za kipumbavu zitakuua
Wanajua sana wanafanya makusudi...weka picha basi wengine roho zitusuuzike...
Diamond ametajwa na Channel O kuwa ni msanii aliyebadilisha music wa Africa
Alipaform nusu saa na sio lisa na nusu. Diamond has one big problem, na ni kubwa sana. He has poor vocals, ana perform na playback music sio beat, akiimba sauti yake utakimbia. Joh makini performed next after dangote, jamaa ana flow na beat tu, na alimfunika mbaya