Carbondioxide
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 733
- 195
Weka picha
duh!tzpatriotist unanifurahisha xan.AIPOLO pamoja sana Mkuu no kuongea vitu hakuna ushahidi.Na umeweka picha pamoja sana sana sana @AIPOLO you make ma day.Hapo sawa
...bingiri bingiri bayoyooo...!!Atanunua tuzo lakini ipo siku atachoka
Tuzo 1 sh. ngapi? Basi jamaa atakuwa na hela sanaAtanunua tuzo lakini ipo siku atachoka
Unataka kutuambia kuwa kiba uwezo wake wa kununua tuzo uliishia kwenye hizi za KTMA,ila hizi za kimataifa hafiki dau ???Atanunua tuzo lakini ipo siku atachoka
KIBA amengiaje hapa?Unataka kutuambia kuwa kiba uwezo wake wa kununua tuzo uliishia kwenye hizi za KTMA,ila hizi za kimataifa hafiki dau ???
Wewe huoni jinsi alivyoingia .................. we umeongelea kununua tuzo na mi nikamkumbuka kiba jinsi alivyozinunua tuzo za KTMA, nadhani sasa ushaona jinsi alivyoingia.KIBA amengiaje hapa?