longi mapexa
JF-Expert Member
- Jul 18, 2015
- 3,265
- 4,250
Na wewe anzisha zako umpigie kura huyo msanii wako.Tuzo nyingine muanzishaji ndiye mpiga kura ili mradi akuze jina lake na kupata sponsors.
Hashiriki tuzo uchwaraNa wewe anzisha zako umpigie kura huyo msanii wako.
Nyie ndio mnamuharibu huyo msanii wenu kwa kumpa matumaini ya kibwege.Mwambieni ukweli ili naye atusue.Hashiriki tuzo uchwara
YupiNyie ndio mnamuharibu huyo msanii wenu kwa kumpa matumaini ya kibwege.Mwambieni ukweli ili naye atusue.
Haaaa! JamaniAtanunua tuzo lakini ipo siku atachoka