Replica
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,681
- 8,887
Mwanamuziki Diamond amesifia ondoa mti na weka mti ya Haji Manara huku akidai hamna vijuso katika machaguo yake. Amesema huko uraiani kuna wengine wamechukia na wanamzengea Zeylisa.
Diamond amesema mwanzo alipata kitu cha chini(Rushayna) lakini sasa Mwenyezi Mungu amempa Zaylisa ambacho ni kitu cha juu zaidi ambae ameona hana makando ya kuja kumchafua.
Diamond amesema mwanzo alipata kitu cha chini(Rushayna) lakini sasa Mwenyezi Mungu amempa Zaylisa ambacho ni kitu cha juu zaidi ambae ameona hana makando ya kuja kumchafua.