Diamond platnumz asifia 'kata mtu panda mti' ya Haji Manara. Adai Zaylisa ni kitu cha juu zaidi kuliko wa mwanzo

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,681
Reaction score
8,887
Mwanamuziki Diamond amesifia ondoa mti na weka mti ya Haji Manara huku akidai hamna vijuso katika machaguo yake. Amesema huko uraiani kuna wengine wamechukia na wanamzengea Zeylisa.

Diamond amesema mwanzo alipata kitu cha chini(Rushayna) lakini sasa Mwenyezi Mungu amempa Zaylisa ambacho ni kitu cha juu zaidi ambae ameona hana makando ya kuja kumchafua.

Your browser is not able to display this video.
 
Ngoja watu wa Udaku waje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…