Diamond Platnumz atajwa kuwania tuzo za CHOAMVA

Nukta5

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2014
Posts
1,182
Reaction score
1,288
Channel O wametangaza majina ya wasanii watakaowania tuzo za CHOAMVA mwaka huu. Diamond ametajwa kuwania vipengele vinne ambavyo ni pamoja na MOST GIFTEDVIDEO OF THE YEAR, MOST GIFTEDNEWCOMER, MOST GIFTED AFRO POP na MOST GIFTED EAST AFRICA

source: bongo5.com

God bless him on his struggle
 
Hiyo ya most gifted of East atachukua hakika!
Kila la kheri!
 
Kuna moja naiona kabsa hapo inaenda kwake
 
east africa hana mpinzani labda ali kiba
 
mwenye link ya kuvote tafadhali iweke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…