Diamond Platnumz atajwa kuwania tuzo za CHOAMVA

Msanii bora kuamuliwa kwa kura!! huu utaratibu wa kijinga sana,watu wanafanya biashara..
 
Msanii bora kuamuliwa kwa kura!! huu utaratibu wa kijinga sana,watu wanafanya biashara..

Wakiamua kikundi kidogo cha watu mnalalamika mshindi kapangwa. Huo ndio utaratibu ambao at least wengi wataridhika.
 
Ndomo hamna kitu,ali kiba ni kiboko yake.

Nakupa homework nenda kwenye Facebook page ya Kiba then uende na kwenye page ya diamond...Then hurudi hapa kusema umegundua nini na nani ni kiboko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…