Aah shoga umeshaenda kucheck ulipopangiwa kufanya usafi??
Hadi raha hadi sina la kuandika zaidi
Hongera Diamond
Acha tu nshaandaa jembe na fyekeo
Ali Kiba Chagua Wachawi Wako kati ya wafuatao.
1.Manejimenti.
2.Mashabiki.
3.Kutokuwa na Juhudi binafsi.
4.Wanaokushirikisha ya kwamba unasauti nzuri.
5.Wanasemaga eti!nyimbo zako si za mapenzi.(zaelimisha jamii)
6.Kujiita kwako Mfalme wa Bangoflavor.
7....... .......
8...............
9...............
10.............