Diamond Platnumz atua na Rolls Royce 2021

Mtaalamu wa kuchambua magari funiyani akiichambua gari ya mr misifa mzee wa kuongeza masifuli


Spartacus mpaka umeshafungua channel YouTube na unajiita mtaalamu🤣🤣🤣..Hakika watu wako wa karibu leo wakae karibu na wewe usije ukasusa kula
 
Hongera yake
 
Picha ya CR7 aliyoipost leo kwenye Instagram ikimuonesha amesimama mbele ya RR yake mpya ya mwaka 2021
 
Kuna jamaa hapo juu anatamani maisha kama ya diamond, nimemshauri aende kwa pdidy
Hamna bwana Diamond anajituma sio mtu aliyebukia from no where Diamond si huyu aliwahi kukataa bila mil 10 hafanyi show tena ilikuwa kama sikosei ilikuwa 2014
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…