Davido amuwezi hata kidogo Diamond kwa performance acheni kupapatikia wasanii wa nje.
Davido bado sana asee hata kuimba Davido ni kawaida sema Davido ni mkali sana wa kutunga vibao ambavyo vinachezeka ambavyo kimsingi ndo vinabamba kwenye soko a muziki
Naona Tecno za kununuliwa mnazitumia vizuri ongezeni bidii maana Maddam wenu anapita humu kuwakaguwa kama mnafanyakazi mliyotumwa, mkijisahau kibarua kinaota nyasi.
Domo ndo nani??
aanze mama yako
Naona Tecno za kununuliwa mnazitumia vizuri ongezeni bidii maana Maddam wenu anapita humu kuwakaguwa kama mnafanyakazi mliyotumwa, mkijisahau kibarua kinaota nyasi.
we we unatumwa na nani sasa?Na zinafanya kazi kweli mbona wanawatuma wasio weza kujibu hoja zaidi ya mipasho haimusaidii kitu bosi wao its just a matter of time
tuzo za vichochoroni hatuzitambui
Naona Tecno za kununuliwa mnazitumia vizuri ongezeni bidii maana Maddam wenu anapita humu kuwakaguwa kama mnafanyakazi mliyotumwa, mkijisahau kibarua kinaota nyasi.
Kwani huwezi kuandika habari ya domo bila kumtaja Ally k? ???
we we unatumwa na nani sasa?
acha kubwabwaja wewe pimbi
Pimbi ni wewe uliyetungwa mimba kwenye mkesha wa Mwenge. Fanculo.
Ni ndomo...
Pimbi ni wewe uliyetungwa mimba kwenye mkesha wa Mwenge. Fanculo.
Hahahaaaa,nilitaka nimjibu hivyohivyo...
kumbe ndio akili zako unakesh kwenye mwenge ili utiwe zygote haya poa next time namimi nitakupa mimba pimbi we we.........Pimbi ni wewe uliyetungwa mimba kwenye mkesha wa Mwenge. Fanculo.