Diamond platnumz aweka record mpya Afrika

NYIMBO ZINGINE ZILICHUKUA SIKU NGAPI KUFIKISHA VIEWS WALIONAO?
Nifah NJOO WAZEE WA FIX WAMERUDI?
 
Wewe hujaelewa hata mada tuliza akili kwanza
SIJAELEWA NINI? WEWE UNAELEWA ULICHOKIANDIKA? TWENDE KWA HESABU JIBU SWALI LANGU VEVO KUNA WASANII WANGAPI AFRICA NA VIEWERS WAO NDANI YA SIKU TANO ILI TUONE DIAMOND NI NAMBA MOJA AU VIPI
 
Unatuchanganya asee....si hatujazoea kuprocess mambo mawili kwa wakati mmoja....subiri tumalizie ishu ya ngada then tutakuja kuendelea na haya mengine.....Au naye KATAJWA?
Kaendelee na issue ya ngada, kwani umeitwa huku au kiranga chako tu.
 
Nilisikia ohh tuko bize na issue ya wema mara ngada hatuangalii liwimbo lenu na tuone mtagonga 1M views lini, msyuuu
Alowaambia nyimbo ya Diamond inasikilizwa/kuangaliwa Tz pekee nani?
He is unbeatable! Kudos.......
 
yule jamaa anayejiita KING na team yake, Mbona sioni akivunja record hata ya mkoa wa Dar? anavunjia records zake wapi?
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™ Msataaa
 
Trend sasa ni ngada hizi nyingine ni zeze. Bad timing. Ila kuna watu mnalipwa kwa kazi ya kuandika thread na kukoment kwa id zaidi ya 20 za mtu mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…