MwanaWA Ebrania
JF-Expert Member
- Oct 6, 2017
- 939
- 1,147
Nyota ya msanii wa kimataifa kutoka ktk ardhi ya Tanzania Diamond Platnumz, aka Chibu, aka Simba Yazidi kung'ara mwaka huu 2020.
Baada ya taasisi mbili kubwa za kijamii kumwandalia tuzo ya (TUZO YA KUJALI NA KUTHAMINI JAMII)
Taasisi hizo ni James Foundation, Na
The Foundation For Conserving Natural Resource Based For Future Generation.
Diamond anapewa Tuzo hiyo yenye Thamani kubwa kwa jamii kwa sababu
Kubwa ya kuokoa Maisha ya watoto waliokuwa mahututi pale Muhimbili kitengo cha Moyo.
Daimond alijitolea kuwasaidia wale watoto mabilioni ya pesa, ili kuokoa nafsi zao zilizokuwa zimekatatamaa kwa kukosa matibabu, wengine aliwasafirisha kutibiwa nje.
Hivyo kama taasisi tumeona Diamond kijana wa mfano kwa jamii. Anafaa kupewa kitu kikubwa zaidi.
Kwa kumbukumbu tu ni kwamba, Tuzo hii ni Mara ya Pili kutolewa. Mara ya kwanza ilitolewa mwaka 2014 kwa marehemu Dr. Abraham Mengi, Dr Mengi tulimtunuku Tuzo hiyo kutokana na kujitoa kwake kuwasaidia walemavu.
Pia mwaka 2015 tulimtunukia star mkubwa wa soka barani afrika Mbwana Ally Samatta kuwa Balozi wa watu wenye ulemavu wa Ngozi.
Mpaka sasa Samatta anaendelea kuwasaidia watu wenye ulemavu wa ngozi kwa kufungua taasisi ya Samatta Foundation.
Hivyo Diamond atapewa Tuzo na kutunukiwa cheti cha Ubalozi wa kuwasemea Jamii kubwa ya watoto wanaoishi katika mazingira magumu, (Watoto wa Mtaani)
Simba Baba laooooooo!
Watawezi kweliii! Aawapi!
Hata wakiungana!? Awapiiiii!!!
Taarifa zitatoka hivi karibuni,
Lini, na wapi tukio litafanyika.
Sent using Jamii Forums mobile app